{% extends 'base.html' %} {% load static %} {% load custom_filters %} {% block title %}HudumaLink - Simamia vikundi vyako kwa urahisi kabisa{% endblock %} {% block content %}
Simamia vikundi vyako vya JAMII, VICOBA, SACCOS, na MISIBA
kwa urahisi na uwazi kamili
Inafanya kazi kikamilifu kwenye simu yako. Au unaweza kutumia kompyuta.
Kila mwanachama ana PIN yake binafsi. Taarifa zako ni salama.
Angalia michango ya kikundi chako, misaada, na salio lako wakati wowote.
Rekodi na uwazi kamili wa misaada kwa msiba, ugonjwa, au majanga.